Author: Gerard Mpango Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #67 (1994) First Line: Yesu, Yesu Amezaliwa Lyrics: 1 Yesu, Yesu
Amezaliwa,
Yesu, Yesu
Amezaliwa,
Amezaliwa siku ya leo.
Amezaliwa siku ya leo.
2 Huyo Yesu
Ndiye Mwokozi,
Huyo Yesu
Ndiye Mwokozi,
Ndiye Mwokozi wa wenye dhambi.
Ndiye Mwokozi wa wenye dhambi.
3 Watu Wote
Na tumwimbie,
Watu Wote
Na tumwimbie,
Na tumwimbie siku ya leo.
Na tumwimbie siku ya leo.
4 Duniani
Leo amani,
Duniani
Leo amani,
Leo amani kwa watu wake.
Leo amani kwa watu wake.
5 Haleluya
Tumtukuze,
Haleluya
Tumtukuze,
Tumtukuze Mwana Daudi.
Tumtukuze Mwana Daudi. Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo Scripture: Luke 2:7 Languages: Swahili
Yesu, Yesu, Amezaliwa