Search Results

Text Identifier:"^yesu_yesu_amezaliwa$"

Planning worship? Check out our sister site, ZeteoSearch.org, for 20+ additional resources related to your search.

Texts

text icon
Text authorities

Yesu, Yesu Amezaliwa

Author: Gerard Mpango Appears in 2 hymnals Used With Tune: [Yesu, Yesu Amezaliwa]

Tunes

tune icon
Tune authorities

[Yesu, Yesu Amezaliwa]

Appears in 1 hymnal Used With Text: Yesu, Yesu Amezaliwa

Instances

instance icon
Published text-tune combinations (hymns) from specific hymnals
Text

Yesu, Yesu, Amezaliwa

Author: Gerard Mpango Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #67 (1994) First Line: Yesu, Yesu Amezaliwa Lyrics: 1 Yesu, Yesu Amezaliwa, Yesu, Yesu Amezaliwa, Amezaliwa siku ya leo. Amezaliwa siku ya leo. 2 Huyo Yesu Ndiye Mwokozi, Huyo Yesu Ndiye Mwokozi, Ndiye Mwokozi wa wenye dhambi. Ndiye Mwokozi wa wenye dhambi. 3 Watu Wote Na tumwimbie, Watu Wote Na tumwimbie, Na tumwimbie siku ya leo. Na tumwimbie siku ya leo. 4 Duniani Leo amani, Duniani Leo amani, Leo amani kwa watu wake. Leo amani kwa watu wake. 5 Haleluya Tumtukuze, Haleluya Tumtukuze, Tumtukuze Mwana Daudi. Tumtukuze Mwana Daudi. Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo Scripture: Luke 2:7 Languages: Swahili

Yesu, Yesu Amezaliwa

Hymnal: Nyimbo za Imani Yetu #67 (2003) Languages: Swahili Tune Title: [Yesu, Yesu Amezaliwa]

People

person icon
Authors, composers, editors, etc.

Gerard Mpango

Author of "Yesu, Yesu, Amezaliwa" in Nyimbo Za Imani Yetu
It looks like you are using an ad-blocker. Ad revenue helps keep us running. Please consider white-listing Hymnary.org or getting Hymnary Pro to eliminate ads entirely and help support Hymnary.org.