Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #13 (1994) First Line: Twamsifu Mungu kwa Mwana wa pendo Refrain First Line: Aleluya! Usifiwe; Aleluya! Amin. Lyrics: 1 Twamsifu Mungu kwa Mwana wa pendo
Aliyetufia na kupaa juu.
Refrain:
Aleluya! Usifiwe;
Aleluya! Amin.
Aleluya! Usifiwe;
utubariki
2 Twamsifu Mungu kwa Roho Mtukufu,
Ametufunula Mwokozi wetu. [Refrain]
3 Twamsifu Mwana, aliyetufia,
Aliyetwaa dhambi akazifuta. [Refrain]
4 Twamsifu Mungu wa neema yoge,
Ametukomboa akatuongoza. [Refrain]
5 Tuamshe tena, tujaze na pendo,
Na moyoni uwashe moto wa Roho. [Refrain] Topics: Irada, Sifa Na Injil Scripture: Psalm 80:18 Languages: Swahili
Twamsifu Mungu