Go Ad-Free
If you regularly use Hymnary.org, you might benefit from eliminating ads. Consider buying a Hymnary Pro subscription.
Text: | Twamsifu Mungu |
1 Twamsifu Mungu kwa Mwana wa pendo
Aliyetufia na kupaa juu.
Refrain:
Aleluya! Usifiwe;
Aleluya! Amin.
Aleluya! Usifiwe;
utubariki
2 Twamsifu Mungu kwa Roho Mtukufu,
Ametufunula Mwokozi wetu. [Refrain]
3 Twamsifu Mwana, aliyetufia,
Aliyetwaa dhambi akazifuta. [Refrain]
4 Twamsifu Mungu wa neema yoge,
Ametukomboa akatuongoza. [Refrain]
5 Tuamshe tena, tujaze na pendo,
Na moyoni uwashe moto wa Roho. [Refrain]
Text Information | |
---|---|
First Line: | Twamsifu Mungu kwa Mwana wa pendo |
Title: | Twamsifu Mungu |
English Title: | Revive Us Again |
Refrain First Line: | Aleluya! Usifiwe; Aleluya! Amin. |
Language: | Swahili |
Publication Date: | 1994 |
Scripture: | |
Topic: | Irada, Sifa Na Injil |
Notes: | Sauti (Tune): Baptist Hymnal 1991 #469, Redemption Songs #36, Nyimbo za Sifa #4; Mlio wa G - Mapigo 3/4 |