Author: David K. Makathimo Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #50 (1994) First Line: Kwa upendo kwa wenye dhambi Refrain First Line: Furaha kubwa tushangilieni Lyrics: Refrain:
Furaha kubwa tushangilieni,
Mwokozi Amekujz kutoka
Mbinguni kwa Mungu,
Furaha kubwa tushangilieni,
Mwokozi Amekujz kutoka
Mbinguni kwa Mungu.
1 Kwa upendo kwa wenye dhambi,
Mwokozi Amekuja kutoka mbinguni kwa Mungu,
Katutafuta atukoe
Mwokozi Amekuja kutoka mbinguni kwa Mungu,
Furaha kubwa tushangilieni,
Mwokozi Amekujz kutoka mbinguni kwa Mungu.
2 Vitu vyote ulimwenguni,
Mwokozi Amekuja kutoka mbinguni kwa Mungu,
Vyatoka kwake juu mbinguni,
Mwokozi Amekuja kutoka mbinguni kwa Mungu,
Furaha kubwa tushangilieni,
Mwokozi Amekujz kutoka mbinguni kwa Mungu.
3 Upendo wake atuletea
Mwokozi Amekuja kutoka mbinguni kwa Mungu,
Amekuja kwa watu wote,
Mwokozi Amekuja kutoka mbinguni kwa Mungu,
Furaha kubwa tushangilieni,
Mwokozi Amekujz kutoka mbinguni kwa Mungu.
4 Kristo ni Mfalme wa milele,
Mwokozi Amekuja kutoka mbinguni kwa Mungu,
Njooni wote tumuabudu
Mwokozi Amekuja kutoka mbinguni kwa Mungu,
Furaha kubwa tushangilieni,
Mwokozi Amekujz kutoka mbinguni kwa Mungu.
Topics: Irada, Sifa Na Injil Scripture: John 3:2 Languages: Swahili
Furaha Kubwa