Text: | Furaha Kubwa |
Translator: | David K. Makathimo |
Refrain:
Furaha kubwa tushangilieni,
Mwokozi Amekujz kutoka
Mbinguni kwa Mungu,
Furaha kubwa tushangilieni,
Mwokozi Amekujz kutoka
Mbinguni kwa Mungu.
1 Kwa upendo kwa wenye dhambi,
Mwokozi Amekuja kutoka mbinguni kwa Mungu,
Katutafuta atukoe
Mwokozi Amekuja kutoka mbinguni kwa Mungu,
Furaha kubwa tushangilieni,
Mwokozi Amekujz kutoka mbinguni kwa Mungu.
2 Vitu vyote ulimwenguni,
Mwokozi Amekuja kutoka mbinguni kwa Mungu,
Vyatoka kwake juu mbinguni,
Mwokozi Amekuja kutoka mbinguni kwa Mungu,
Furaha kubwa tushangilieni,
Mwokozi Amekujz kutoka mbinguni kwa Mungu.
3 Upendo wake atuletea
Mwokozi Amekuja kutoka mbinguni kwa Mungu,
Amekuja kwa watu wote,
Mwokozi Amekuja kutoka mbinguni kwa Mungu,
Furaha kubwa tushangilieni,
Mwokozi Amekujz kutoka mbinguni kwa Mungu.
4 Kristo ni Mfalme wa milele,
Mwokozi Amekuja kutoka mbinguni kwa Mungu,
Njooni wote tumuabudu
Mwokozi Amekuja kutoka mbinguni kwa Mungu,
Furaha kubwa tushangilieni,
Mwokozi Amekujz kutoka mbinguni kwa Mungu.
Text Information | |
---|---|
First Line: | Kwa upendo kwa wenye dhambi |
Title: | Furaha Kubwa |
Translator: | David K. Makathimo |
Refrain First Line: | Furaha kubwa tushangilieni |
Language: | Swahili |
Publication Date: | 1994 |
Scripture: | |
Topic: | Irada, Sifa Na Injil |
Notes: | Sauti ya Kikongo, Africa Praise #7, Mlio wa G, Mapito 6\8 |