Refrain:
Furaha kubwa tushangilieni,
Mwokozi Amekujz kutoka
Mbinguni kwa Mungu,
Furaha kubwa tushangilieni,
Mwokozi Amekujz kutoka
Mbinguni kwa Mungu.
1 Kwa upendo kwa wenye dhambi,
Mwokozi Amekuja kutoka mbinguni kwa Mungu,
Katutafuta atukoe
Mwokozi Amekuja kutoka mbinguni kwa Mungu,
Furaha kubwa tushangilieni,
Mwokozi Amekujz kutoka mbinguni kwa Mungu.
2 Vitu vyote ulimwenguni,
Mwokozi Amekuja kutoka mbinguni kwa Mungu,
Vyatoka kwake juu mbinguni,
Mwokozi Amekuja kutoka mbinguni kwa Mungu,
Furaha kubwa tushangilieni,
Mwokozi Amekujz kutoka mbinguni kwa Mungu.
3 Upendo wake atuletea
Mwokozi Amekuja kutoka mbinguni kwa Mungu,
Amekuja kwa watu wote,
Mwokozi Amekuja kutoka mbinguni kwa Mungu,
Furaha kubwa tushangilieni,
Mwokozi Amekujz kutoka mbinguni kwa Mungu.
4 Kristo ni Mfalme wa milele,
Mwokozi Amekuja kutoka mbinguni kwa Mungu,
Njooni wote tumuabudu
Mwokozi Amekuja kutoka mbinguni kwa Mungu,
Furaha kubwa tushangilieni,
Mwokozi Amekujz kutoka mbinguni kwa Mungu.
Source: Nyimbo Za Imani Yetu #50