1 Nina ujumbe wa Bwana aliyeniokoa; Nina ujube wa Bwana aa. Nina ujumbe wa Bwana aliyeniokoa; Nina ujube wa Bwana aa.
2 Nina baraka za Bwana aliyeniokoa; Nina baraka za Bwana aa. Nina baraka za Bwana aliyeniokoa; Nina baraka za Bwana aa.
3 Nina ushindi wa Bwana aliyeniokoa; Nina ushindi wa Bwana aa. Nina ushindi wa Bwana aliyeniokoa; Nina ushindi wa Bwana aa.Source: Nyimbo Za Imani Yetu #263