1 Nina ujumbe wa Bwana aliyeniokoa;
Nina ujube wa Bwana aa.
Nina ujumbe wa Bwana aliyeniokoa;
Nina ujube wa Bwana aa.
2 Nina baraka za Bwana aliyeniokoa;
Nina baraka za Bwana aa.
Nina baraka za Bwana aliyeniokoa;
Nina baraka za Bwana aa.
3 Nina ushindi wa Bwana aliyeniokoa;
Nina ushindi wa Bwana aa.
Nina ushindi wa Bwana aliyeniokoa;
Nina ushindi wa Bwana aa.
Text Information | |
---|---|
First Line: | Nina ujumbe wa Bwana aliyeniokoa |
Title: | Nina Ujumbe Wa Bwana Aliyeniokoa |
Language: | Swahili |
Publication Date: | 1994 |
Scripture: | |
Topic: | Ushuhuda |
Notes: | Sauti: Mapokeo |