1 Amekuja Mwokozi
Amekuja Mwokozi,
Ufalme wa juu karibu
Amekuja Mwokozi
Ufalme wa juu karibu
Amekuja Mwokozi.
2 Geukeni mioyo
Geukeni mioyo,
Watatupwa wenye kiburi
Geukeni mioyo
Watatupwa wenye kiburi
Geukeni mioyo.
3 Shoka lipo shinani
Shoka lipo shinani,
Mti usiozaa wakatwa.
Shoka lipo shinani
Mti usiozaa wakatwa.
Shoka lipo shinani.
4 Ana ungo mkononi
Ana ungo mkononi,
Ngano yqke kuipepeta
Ana ungo mkononi
Ngano yqke kuipepeta
Ana ungo mkononi.
5 Yatachomwa makapi,
Yatachomwa makapi,
Ngano itawekwa chanjani
Yatachomwa makapi
Ngano itawekwa chanjani
Yatachomwa makapi.
6 Nabatiza kwa maji
Nabatiza kwa maji
Yeye hubatiza kwa Roho.
Nabatiza kwa maji
Yeye hubatiza kwa Roho.
Nabatiza kwa maji.
7 Mbele yake sifai
Mbele yake sifai,
Yeye hubatiza kwa Roho.
Nabatiza kwa maji
Yeye hubatiza kwa Roho.
Nabatiza kwa maji.
8 Elekea mbinguni
Elekea mbinguni,
Kristo katafanyia nija,
Ya kwendea mbinguni
Kristo katafanyia nija,
Ya kwendea mbinguni
Source: Mwimbieni Bwana: msifuni Mungu, mfalme wa mbingu na nchi! #8