Text: | Amekuja Mwokozi |
1 Amekuja Mwokozi
Amekuja Mwokozi,
Ufalme wa juu karibu
Amekuja Mwokozi
Ufalme wa juu karibu
Amekuja Mwokozi.
2 Geukeni mioyo
Geukeni mioyo,
Watatupwa wenye kiburi
Geukeni mioyo
Watatupwa wenye kiburi
Geukeni mioyo.
3 Shoka lipo shinani
Shoka lipo shinani,
Mti usiozaa wakatwa.
Shoka lipo shinani
Mti usiozaa wakatwa.
Shoka lipo shinani.
4 Ana ungo mkononi
Ana ungo mkononi,
Ngano yqke kuipepeta
Ana ungo mkononi
Ngano yqke kuipepeta
Ana ungo mkononi.
5 Yatachomwa makapi,
Yatachomwa makapi,
Ngano itawekwa chanjani
Yatachomwa makapi
Ngano itawekwa chanjani
Yatachomwa makapi.
6 Nabatiza kwa maji
Nabatiza kwa maji
Yeye hubatiza kwa Roho.
Nabatiza kwa maji
Yeye hubatiza kwa Roho.
Nabatiza kwa maji.
7 Mbele yake sifai
Mbele yake sifai,
Yeye hubatiza kwa Roho.
Nabatiza kwa maji
Yeye hubatiza kwa Roho.
Nabatiza kwa maji.
8 Elekea mbinguni
Elekea mbinguni,
Kristo katafanyia nija,
Ya kwendea mbinguni
Kristo katafanyia nija,
Ya kwendea mbinguni
Text Information | |
---|---|
First Line: | Amekuja Mwokozi |
Title: | Amekuja Mwokozi |
Language: | Swahili |
Publication Date: | 1988 |
Topic: | Yesu anangojewa |
Notes: | Sauti na wimbo: Kibena (AMEKUJA MWOKOZI) Tumshangilie Mungu #1 |