Hymnary.org will be briefly unavailable January 23, starting at 10:00 AM EST for system maintenance. Thank you for your patience. Hide this message

Instance Results

In:instances
Text Identifier:"^yesu_kwetu_ni_rafiki$"

Planning worship? Check out our sister site, ZeteoSearch.org, for 20+ additional resources related to your search.
Showing 1 - 2 of 2Results Per Page: 102050
TextAudio

Yesu Kwetu Ni Rafiki

Author: Joseph M. Scriven; Unknown Hymnal: The Cyber Hymnal #15527 Meter: 8.7.8.7 D Lyrics: 1 Yesu kwetu ni Rafiki, Hwambiwa haja pia; Tukiomba kwa Babaye Maombi asikia; Lakini twajikosesha, Twajitweka vibaya; Kwamba tulimwomba Mungu Dua angesikia. 2 Una dhiki na maonjo? Una mashaka pia? Haifai kufa moyo, Dua atasikia. Hakuna mwingine mwema Wakutuhurumia; Atujua tu dhaifu; Maombi asikia. 3 Je, hunayo hata nguvu, Huwezi kwendelea, Ujapodharauliwa Ujaporushwa pia. Watu wangekudharau Wapendao dunia, Hukwambata mikononi, Dua atasikia. Languages: Swahili Tune Title: ERIE
Page scan

Yesu Kwetu Ni Rafiki

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #236 (1994) Topics: Ushuhuda Scripture: John 15:236 Languages: Swahili

Export as CSV
It looks like you are using an ad-blocker. Ad revenue helps keep us running. Please consider white-listing Hymnary.org or getting Hymnary Pro to eliminate ads entirely and help support Hymnary.org.