Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #4 (1994) First Line: Mungu M-tukufu aliye Bwana Refrain First Line: Msifuni, msifuni, nchi imsikie Lyrics: 1 Mungu M-tukufu aliye Bwana,
Akamtoa Yes Mwana M-pendwa;
Akawa dhabihu kwa dhambi zote,
Kufungua njia kwa watu wote.
Refrain:
Msifuni, msifuni, nchi imsikie:
Msifuni, msifun, Bwna mshangilie:
Njoni kwake Baba kwa Yesu Mwana,
M-peni heshima aliye Bwana.
2 Ukombozi wetu, tendo la Mungu,
Ni ukamilifu kwa kila m-tu;
Mwenye ukosefu akimwamini,
Atasamehewas na Yesu, kweli. [Refrain]
3 Ametufundisha mambo ya mbingu,
Tukafurahiswa na Mwana Mungu;
Ametuinua tukae naye,
Atatuongoza hata milele. [Refrain] Topics: Irada, Sifa Na Injil Scripture: Galatians 1:4-5 Languages: Swahili
Mungo Mtukufu Aleye Bwana