Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #11 (1994) First Line: Jina la Yesu, salamu! Refrain First Line: Na enzi, enzi Lyrics: 1 Jina la Yesu, salumu!
Lisujudieni, Lisujudieni;
Ninyi mbinguni, hukumu,
Na enzi, enzi, enzi, enzi,
Enzi enzi, enzi na enzi mpeni.
2 Enzi na apewa kwenu,
Wateteea dini, Watetea dini;
Mkuzeni Bwana wenu
Na enzi, enzi, enzi, enzi,
Enzi enzi, enzi na enzi mpeni.
3 Enyi mbegu ya rehema,
Nanyi msifuni, Nanyi msifuni;
Mmeponywa kwa neema,
Na enzi, enzi, enzi, enzi,
Enzi enzi, enzi na enzi mpeni.
4 Wenye dhambi kumbukeni,
Ya msalabani, Ya msalabani,
Kwa furaha msifuni,
Na enzi, enzi, enzi, enzi,
Enzi enzi, enzi na enzi mpeni.
5 Kila mtu duniani
Msujudieni, Msujudieni;
Kote-kote msifuni,
Na enzi, enzi, enzi, enzi,
Enzi enzi, enzi na enzi mpeni.
6 Sisi na wao pamoja tu
Humo sifani, Humo sifani;
Milele sifa ni moja,
Na enzi, enzi, enzi, enzi,
Enzi enzi, enzi na enzi mpeni.
Topics: Irada, Sifa Na Injil Scripture: Matthew 1:21 Languages: Swahili
Jina La Yesu, Salamu!