Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #18 (1994) First Line: Niongoze, Bwana Mungu, ni msafiri chini Lyrics: 1 Niongoze, Bwana Mungu, ni msafiri chini;
Ni mnyonge, nguvu sina; nishike mkononi;
U Mkate wa mbinguni, nilishe siku zote,
Nilishe siku zote.
2 Kijito cha maji mema kitokacho mwambani,
Nguzo yako, moto wingu, yaongoza nyikani;
Niokoe Mwenye nguvu; nguvu zangu na ngao,
Nguvu zangu na ngao.
3 Nikikaribia kufa, sichi neno lo lote,
Wewe kifo umeshinda, zinawe nguvu zote,
Tutaimba sifa zako, kwako juuu milele.
Kwako juu milele. Topics: Irada, Sifa Na Injil; Safari Ya Mbinguni Scripture: Isaiah 58:11 Languages: Swahili
Niongoze, Bwana Mungu