Appears in 2 hymnals Scripture: Psalm 136 First Line: Mshukuruni Mungu, kwa kuwa Yeye mwema Refrain First Line: Ana fadhili za milele Lyrics: 1 Mshukuruni Mungu, kwa kuwa Yeye mwema.
Ana fadhili za milele
2 Ni Mungu wa miungu, na Bwana wa mabwana.
Ana fadhili za milele
3 Afanya maajabu, nchi ameiumba.
Ana fadhili za milele
4 Mianga huko juu, mbingu kwa hekima.
Ana fadhili za milele
5 Kwa mchana na usiku, jua mwezi na nyota.
Ana fadhili za milele
6 Alipiga kwa ufu, wazaliwa wa kwanza.
Ana fadhili za milele
7 Alitoa dwa nguvu, Waisraeli tena.
Ana fadhili za milele
8 Na Bahari ya Shamu, Yeye aliigawa.
Ana fadhili za milele
9 Ee, katikati Mungu, Yakoba akamyusha.
Ana fadhili za milele
10 Ee, Farao na watu, akawaangamiza.
Ana fadhili za milele
11 Huwaongoza Mungu, watu katika jangwa.
Ana fadhili za milele
12 Na wafalme wakuu, akawaua pia.
Ana fadhili za milele
13 Sihoni, tena Ogu, akawachinda Bwana.
Ana fadhili za milele
14 Nchi yao ni fungu, Yakobo akapewa.
Ana fadhili za milele
15 Katika udhilifu, sisi hutukumbuka.
Ana fadhili za milele
16 Wote watesi wetu, wao wamefukuzwa.
Ana fadhili za milele
17 Viumbe, Walimwengu, wanapewa chakula.
Ana fadhili za milele
18 Mshukuruni Mungu, mbinguni anadaa.
Ana fadhili za milele
Topics: Irada, Sifa Na Injil
Wimbo Wa Shukrani