Appears in 1 hymnalScripture: John 3:16Lyrics: 1 Mungu Baba
Aliwapenda wote
Mungu Baba
Aliwapenda wote.
2 Akamtuma
Mwana wake wa pekee
Akamtuma
Mwana wake wa pekee
3 Kutupenda
Alitufilia sisi
Kutupenda
Alitufilia sis.
4 Yu hai
Yu hai kweli
Yu hai
Yu hai kweli.
5 Alienda
Alienda mbinguni
Alienda
Alienda mbinguni.
6 Yu Mfalme
Yu Mfalme Yesu
Yu Mfalme
Yu Mfalme Yesu.
7 Ni mlinzi
Ni mlinzi wetu
Ni mlinzi
Ni mlinzi wetu.
8 Atuita
Atuita leo
Atuita
Atuita leo.
9 Tulisikie
Tulisikie Neno
Tulisikie
Tulisikie Neno.
10 Tumshukuru
Tumshukuru Mfalme
Tumshukuru
Tumshukuru Mfalme.Topics: Upendo Wa Mungu
Appears in 1 hymnalScripture: John 3:16Lyrics: Also hat Gott die Welt geliebt,
daß er seinen eingebornen Sohn gab.Topics: Das Kirchenjahr WeihnachtenUsed With Tune: [Also hat Gott die Welt geliebt]
Author: Iván Díaz, n. 1979Appears in 1 hymnalScripture: John 3:16-17First Line: En el principio de los tiemposRefrain First Line: A Dios el PadreTopics: Santísima TrinidadUsed With Tune: [En el principio de los tiempos]
Author: Koren Ruiz, n. 1980Appears in 1 hymnalScripture: John 3:16First Line: Dios al mundo amó de tal manera que nos dioTopics: LuzUsed With Tune: [Dios al mundo amó de tal manera que nos dio]
Author: Graham KendrickAppears in 1 hymnalScripture: John 3:16First Line: This is my beloved SonTopics: The Son His Name and PraiseUsed With Tune: THIS IS MY BELOVED SON
It looks like you are using an ad-blocker. Ad revenue helps keep us running.
Please consider white-listing Hymnary.org or getting Hymnary Pro
to eliminate ads entirely and help support Hymnary.org.