Author: Elisha A. Hoffman; Unknown Appears in 1 hymnal Refrain First Line: Sifa kwa Yesu Lyrics: 1 Msalabani pa Mwokozi,
Naliomba unirehemu,
Aliniondoa dhambini,
Sifa kwa Yesu!
Refrain:
Sifa kwa Yesu,
Sifa kwa Yesu, Bwanangu,
Aliniondoa dhambini,
Sifa kwa Yesu.
2 Chini ya mti naliomba,
Nisamehewe dhambi zangu,
Nalitakasika kwa damu,
Sifa kwa Yesu! [Refrain]
3 Kisima cha kububujika,
Kwangu ni youte na furaha,
Nalitakaswa kisimani,
Sifa kwa Yesu! [Refrain]
4 Karibu nyote kisimani!
Nyweni na roho itashiba,
Kiu yaisha, salamu kuu,
Sifa kwa Yesu! [Refrain] Used With Tune: [Msalabani pa Mwokozi]
Msalabani Pa Mwokozi