1 Ninakukumbilia wewe Bwana
nisiaibike milele aa.
Ninakukumbilia wewe Bwana
nisiaibike milele aa.
Ninakukumbilia wewe Bwana
nisiaibike milele aa.
Ninakukumbilia wewe Bwana
nisiaibike milele aa.
Refrain:
Milele aa
milele aa
milele aa
milele aa.
Ninakukimbilia wewe Bwana
nisiabike milele aa.
Milele aa
milele aa
milele aa
milele aa.
Ninakukimbilia wewe Bwana
nisiabike milele aa.
2 Tunajileta mbele zako
tusiaibike mileleaa.
Ninakukimbilia wewe Bwana
nisiabike milele aa.
Tunajileta mbele zako
tusiaibike mileleaa.
Ninakukimbilia wewe Bwana
nisiabike milele aa. [Refrain]
Text Information | |
---|---|
First Line: | Ninakukimbilia wewe Bwana |
Title: | Ninakukimbilia Wewe Bwana |
Refrain First Line: | Milele aa milele aa |
Language: | Swahili |
Publication Date: | 1994 |
Scripture: | |
Topic: | Ushuhuda |
Notes: | Sauti: Mapokeo |