1 Sikiliza ewe mgu mkosaji Hutaweza kuyafuta makosa.
Refrain: Yes mdiye tu kufuta Awezaye tu makosa, Awezaye tu makosa.
2 Tu wanyonge hata nguvu hatuna Hatuwezi kujiosha makosa. [Refrain]
3 Njooni kwake mpokee msamaha Damu yake yatuosha makosa. [Refrain]
4 Nijia yako e Bwana Mungu wetu Tusikose kufuata kabisa. [Refrain]
5 Usikie wanao wakiomba Tuwezeshe kujishika na wewe. [Refrain]Source: Mwimbieni Bwana: msifuni Mungu, mfalme wa mbingu na nchi! #295