Refrain:
Haleluya Amina, Haleluya Amina,
Haleluya Amina, Haleluya Amina.
1 Msifuni
Amin
Pataatifu
Amin
Uweza wake
Amin
Haleluya Amin
2 Msifuni
Amin
Matendoyake
Amin
Ukuu wake
Amin
Haleluya Amin
3 Na baragumu
Amin
Na knanda
Amin
Na kinubi
Amin
Haleluya
Amin
4 Na maturi
Amin
Na zeze
Amin
Na filimbi
Amin
Haleluya
Amin
5 Msifuni
Amin
Na matoazi
Amin
Na nguvy
Amin
Haleluya
Amin.
6 Kila mtu
Amin
Mwenye pumzi
Amin
Amsifu
Amin
Haleluya
Amin.
Source: Nyimbo Za Imani Yetu #37