Vijana Wenti Wamemwasi Bwana

Kuna vijana wengi wamemwasi Bwana

Published in 1 hymnal

Representative Text

1 Kuna vijana wengi wamemwasi Bwana
Kuna vijana wengi wamemwasi Bwana
Kuna vijana wengi wamemwasi Bwana
Kuna vijana wengi wamemwasi Bwana
Angalia sana ndugu yangu
Angalia sana
Angalia ngdugu yangu
Angalia sana
Ulevi ndiyo
Angalia sana
Ya dunia yatapita
Angalia sana

2 Kuna wazee wangi wamemwasi Bwana
Kuna wazee wangi wamemwasi Bwana
Kuna wazee wangi wamemwasi Bwana
Kuna wazee wangi wamemwasi Bwana
Angalia ndugu yangu
Angalia sana
Maisha yako
Angalia sana
Kina mama
Angalia sana
Angalia baba yangu
Angalia sana
Ya dunia yatapita
Angalia sana

Source: Nyimbo Za Imani Yetu #239

Text Information

First Line: Kuna vijana wengi wamemwasi Bwana
Title: Vijana Wenti Wamemwasi Bwana
Language: Swahili
Notes: Sauti: Mapokeo
Copyright: Public Domain

Instances

Instances (1 - 1 of 1)
TextPage Scan

Nyimbo Za Imani Yetu #239

Suggestions or corrections? Contact us
It looks like you are using an ad-blocker. Ad revenue helps keep us running. Please consider white-listing Hymnary.org or getting Hymnary Pro to eliminate ads entirely and help support Hymnary.org.