1. Ibada, Sifa, Na Injili

Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana,
dunia na wote wakaao ndani yake.
Ee Bwana, umenichunguza na kunijua.
Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana.
Naam, vyote vilivyo ndani yangu vilihimidi jina lake takatifu.
Mwimbieni Bwana wimbo mpya,
Mwimbieni Bwana nchi yote
Mtukuzeni Bwana pamoja nami,
na tuliadhimishe jina lake pamoja

Text Information
First Line: Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana
Title: Ibada, Sifa, Na Injili
Language: Swahili
Publication Date: 2003
Scripture: ; ; ; ;
Tune Information
(No tune information)



Media
More media are available on the text authority page.

Suggestions or corrections? Contact us
It looks like you are using an ad-blocker. Ad revenue helps keep us running. Please consider white-listing Hymnary.org or getting Hymnary Pro to eliminate ads entirely and help support Hymnary.org.