91. Haleluya, Haleluya, Mwokozi Kafufuka

1 Haleluya, Haleluya, Mwokozi Kafufuka
Haleluya, haleluya.
Kweli alituahidi kuwa atafufuka.
Haleluya, haleluya.

Refrain:
Duniani ni amani,
Juu mbinguni ni utukufu,
Duniani ni amani,
Juu mbinguni ni utukufu.

2 Siku mbili kaburini, ya tatu kafufuka.
Haleluya, haleluya.
Ni dalili ya kushinda, mauti imshindwa.
Haleluya, haleluya. [Refrain]

3 Sasa uzima tele kwa kila aaminiye.
Haleluya, haleluya.
Tusihofu twende hima atatupa uzima.
Haleluya, haleluya. [Refrain]

Text Information
First Line: Haleluya, haleluya, Mwokozi kafufuka
Title: Haleluya, Haleluya, Mwokozi Kafufuka
Author: Festus Mpoyola
Refrain First Line: Duniani ni amani
Language: Swahili
Publication Date: 1994
Scripture:
Topic: Kufufuka Kwake Yesu
Notes: Sauti ya Kihehe, Tufurahi na Kuimba #19
Tune Information
(No tune information)



Suggestions or corrections? Contact us
It looks like you are using an ad-blocker. Ad revenue helps keep us running. Please consider white-listing Hymnary.org or getting Hymnary Pro to eliminate ads entirely and help support Hymnary.org.