Text: | Wachunga Wakesha |
Translator: | David Makathimo |
1 Wachunga wakesha
Kulina Kondoo
Karibu na mji wa Bethlhem ya Yda,
Malaika wa Mungu
Malaika wa Mungu akaleta habari;
Wachunga wakesah
Kulinda Kondoo
Karibu na mji wa Bethlehem ya Yuda,
Malaika wa Mungu
Malaida wa Mungu akaleta habri.
2 Mtoto kazakliwa
Kristo Mkombozi
Ndiye Mwana wa Mungu amelazwa horini,
Nendeni Bethlehem
Nendeni Bethlehem huko mtamwona;
Mtoto kazakliwa
Kristo Mkombozi
Ndiye Mwana wa Mungu amelazwa horini,
Nendeni Bethlehem
Nendeni Bethlehem huko mtamwona.
3 'Ni ajubu kuu"
Twende tukamwone
Kule tumeambiwa na malaika wa Mungu,
Mwokozi tumwone
Mwokozi tumwone "Ni ajabu kuu;"
'Ni ajubu kuu"
Twende tukamwone
Kule tumeambiwa na malaika wa Mungu,
Mwokozi tumwone
Mwokozi tumwone "Ni ajabu kuu."
4 Walipoingia
Pale kwenye zizi
Ndipo walipomwona amelazwa horini,
Wakam'abudu
Wakam'abudu wakipiga magoti;
Walipoingia
Pale kwenye zizi
Ndipo walipomwona amelazwa horini,
Wakam'abudu
Wakam'abudu wakipiga magoti.
5 Walimwengu wate
Njoni tumwabudu
Kwa myoyo ya furaha tumwabudu Mwokozi,
Njoni tumwabudu
Njoni tumwabudu Yesu amezaliwa;
Walimwengu wate
Njoni tumwabudu
Kwa myoyo ya furaha tumwabudu Mwokozi,
Njoni tumwabudu
Njoni tumwabudu Yesu amezaliwa.
Text Information | |
---|---|
First Line: | Wachunga wakesha |
Title: | Wachunga Wakesha |
Translator: | David Makathimo |
Language: | Swahili |
Publication Date: | 1994 |
Scripture: | |
Topic: | Kuzaliwa Kwake Kristo |
Notes: | Sauti ya Kibemba (Zambia), African Praise #22 |