Text: | Mungu Baba |
1 Mungu Baba
Aliwapenda wote
Mungu Baba
Aliwapenda wote.
2 Akamtuma
Mwana wake wa pekee
Akamtuma
Mwana wake wa pekee
3 Kutupenda
Alitufilia sisi
Kutupenda
Alitufilia sis.
4 Yu hai
Yu hai kweli
Yu hai
Yu hai kweli.
5 Alienda
Alienda mbinguni
Alienda
Alienda mbinguni.
6 Yu Mfalme
Yu Mfalme Yesu
Yu Mfalme
Yu Mfalme Yesu.
7 Ni mlinzi
Ni mlinzi wetu
Ni mlinzi
Ni mlinzi wetu.
8 Atuita
Atuita leo
Atuita
Atuita leo.
9 Tulisikie
Tulisikie Neno
Tulisikie
Tulisikie Neno.
10 Tumshukuru
Tumshukuru Mfalme
Tumshukuru
Tumshukuru Mfalme.
Text Information | |
---|---|
First Line: | Mungu Baba |
Title: | Mungu Baba |
Language: | Swahili |
Publication Date: | 1994 |
Scripture: | |
Topic: | Upendo Wa Mungu |
Notes: | Sauti ya Kinsenga (Zambia), Africa Praise #12 |